Flamingo Garden Inn inaonyesha matukio yote makubwa ya michezo yanayotokea duniani kote kwenye viwambo vikubwa vilivyowekwa kila kona.
Wapenzi wa mpira wa miguu wanaweza kuona michezo yote muda huohuo inapochezwa ikijumuhisha Ligi ya Mabingwa, Ligi Kuu za nchi mbalimbali, Kombe la Washindi nk.
Ni wakati huu mwafaka wa kukutana na marafiki wapya na wa zamani  kushangilia kwa pamoja timu yako uipendayo wakati ukipata moja moto moja baridi.